Hii ni single mpya iitwayo Simama nami iliyoimbwa na mastaa mbalimbali wa kike akiwemo, Kajala, Keisha, Zamaradi, Shilole, Grace Matata, Linah, Irene Uwoya, Wolper, Khadija Nito, Shamsa Ford na Mwasiti.
Lengo la wimbo huu ni kutokomeza vitendo vya mauaji kwa albino vinaendelea kutawala nchini.
Usikilize na Udownload hapa chini
Social Plugin