Ndege ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kuwaka moto wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.
Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya injini za ndege hiyo ilipotaka kuruka, ikashindwa na kuanguka.
Social Plugin