Noma Sana!! KIJANA HUYU APIGWA SANA BAADA YA KUKUTWA AKIUZA MISHIKAKI YA NYAMA YA PAKA
Wednesday, February 18, 2015
Kijana Huyu Amekutwa Akiwauzia Wakazi wa Temeke Mwisho Mishikaki ya Paka na kufuatia kitendo hicho kilichowakera wananchi,ndipo wakaanza kumshushia kipigo cha maana
muuza mishikaki huyo maarufu katika stendi ya Temeke Mwisho jijini Dar es salaam.Kijana huyo amekutwa akiandaa mishikaki ya nyama ya paka.Picha iliyopo hapa chini ni moja ya paka hao waliokuwa wanaandaliwa kwa ajili ya mishikaki
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin