TAZAMA PICHA- MAZISHI YA MSANII MKONGWE TANZANIA EBBY SYKES JIJINI DAR ES SALAAM
Monday, February 16, 2015
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Jaji mstaafu Joseph
Warioba leo Feb 16 wameungana na wananchi mbalimbali kwenye mazishi ya
muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Ebby Sykes ambaye ni baba mzazi wa
msanii Dully Sykes.
Mazishi hayo yamefanyika kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye mazishi hayo.
Ebby Sykes enzi za uhai wake.
Mwanamuziki Dully Sykes akihojiwa na wanahabari (hawapo pichani) huko msibani Kawe Beach jijini Dar.…
Dully akilia kwa simanzi wakati akipewa pole na waombolezaji waliofika msibani Mbezi Beach.
Dully akipewa pole na baadhi ya waombolezaji waliofika msibani leo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin