Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ULIZIONA PICHA ZA MAGWIJI WA RADIO FREE AFRICA WALIPOTUA MJINI KAHAMA? ZIKO HAPA NYINGI SANA

WATANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA JUZI SIKU YA VALENTINE WALIKUTANA NA WATANGAZAJI WA RADIO KAHAMA KATIKA BONANZA BABU KUBWAA LILILOFANYIKA MJINI KAHAMA

KIONGOZI WA MSAFARA SYMPHROSE MAKUNGU AKIWATIA MOYO VIJANA WAKE WAKATI WA MAPUMZIKO.

KUTOKA FUTUHI JAMAA ANAITWA OKECHI AKIWA NA LEOKADIA WAKIFANYA YAKE.
TEAM KUTOKA RFA WAKIWA WAMEPUMZIKA KATIKA HOTEL YA IHESA KAHAMA.
SAFARI YA KUELEKEA KAHAMA
KIJANA ANAITWA DIDA AKIWA ENEO LA ISAKA BAADA YA KUPATA SUPU.

VIJANA WAKIWA ISAKA KWA AJILI YA SUPU.

TUKIWA KATIKA MITAA YA KAHAMA ENEO LA STAND KUBWA KWA AJILI YA PA.

WADAU WA STAND KUBWA KAHAMA WAKIONYESHA UPENDO KWA TEAM RFA.

VIJANA WAKIWA WAMESHUKA KWENYE GARI ENEO LA ISAKA

P.A ZIKIENDELEA MTAA KWA MTAA


WAMBURA MTANI AKIWAPAGAWISHA WAKAZI WA KAHAMA.

ALAN KABASELE KUTOKA KAHAMA FM AKIWA NA OKECHI WAKIPIGA P.A

KUTOKA FUTUHI ANAITWA LEOCADIA AKIFANYA YAKE.

KAZI IKIENDELEA MTAA KWA MTAA.


ENEO LA STAND KAHAMA

KATIKATI ANAITWA RENATUS KILUVIA a.k.a BIZZO WA NEW CHAPTER AKIWA KATIKATI YA UMATI WA WANA KAHAMA.


ANAITWA GONGA TOKA FUTUHI AKISEREBUKA KIANA NDANI YA UWANJA.


VIONGOZI WAKIWA KATIKA MIPANGO YA KAZI NDANI YA UWANJA.

SOUND CHECK UP

WAMBURA MTANI AKIFANYA YAKE.

HAWA NDIYO MAKOCHA WA RFA FC,KUTOKA KULIA ANAITWA JACKSON NYAMSUKA KOCHA MKUU AKIWA NA MSAIDIZI WAKE ISACK MSUMBA KUSHOTO.

BALAAA HAPO SASA.

DAVID AZARIA KULIA AKIBADILISHANA MAWAZO NA BIZOO WA NEW CHAPTER

DJ RAMMY WA KAHAMA FM AKIPEANA MICHAPO NA GONGA WA FUTUHI.

WAKAZI WA KAHAMA WALIOKUJA KUSHUHUDIA MPAMBANO.


VIJANA WA RFA WAKIWA KATKA MAPUMZIKO.

MAWAIDHA KATIKA KIPINDI CHA KWANZA.

BALAAA TUPU AISEE.

GOLIKIPA KIJUKUU CHA BIBI K AKIJIWEKA SAWA BAADA YA MAPUMZIKO.

PICHA ZOTE KWA HISANI YA KIJUKUU CHA BIBI K BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com