UMEIPATA HII YA KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI KWA KUTUMIA SMARTPHONE AU iPAD? IKO HAPA MTU WANGU

Timu ya watafiti kutoka chuo cha Columbia Univesity kimebaini simu za kisasa za smartphone zinaweza kupimakwa haraka na urahisi virusi vya Ukimwi na magonjwa wa zinaa.


Kwa kutumia App ambayo una-install kwenye smartphone ama iPad, halafu unaunganisha kwenye simu kupitia tundu la kuwekea headphone, basi majibu ya vipimo hivyo yanapatikana ndani ya dakika 15!Kifaa hicho kinapatikana kwa gharama ya Dola 34 (sawa na sh. 55,000/= Tshs)..
Hii ni iPhone ikiwa imeungwa na kifaa hicho. Inasemekana hadi sasa wanawake 96 kutoka Uganda wamefanyiwa vipimo kwa njiahiyo na kupata majibu yanayoridhisha na kuchapishwa kwenye jarida lamasuala ya sayansi na tiba Uganda.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post