Kwa
nchi za wenzatu mbwa amekua sehemu kubwa ya familia na amekua
akihudumiwa na kupewa matunzo yote kama ilivyo kwa binadamu wengine.
Hii inaweza kukushangaza lakini ni kweli
baada ya mmbwa ajulikanaye kwa jina Sissy huku America kuamua kumtafuta
mwenyeji wake na kwenda hadi katika hospitali alikokuwa amelazwa bila
kupewa maelekezo yoyote.
Nancy Frank ambaye alikuwa mmiliki wa mbwa huyo alilazwa katika hospitali ya Mercy Medical Center akitibiwa
ugonjwa wa cancer kwa muda wa wiki mbili akiwa amemuacha mbwa wake
nyumbani na alijikuta akipatwa na mshangao baada ya kukutanishwa naye.
Baada ya kufika hospitali hapo walinzi
walimtambua baada ya kuona akiwa na maelezo katika shindo yake na ndipo
walipoamua kumkutamisha na mwenyeji wake.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI
Social Plugin