Utafiti
uliofanywa kwa wanawake na wanaume 2,000 waliooana kwa muongo mmoja au
zaidi ushauri wao mkubwa kwa wanandoa wapya ni kuwa na desturi ya
kuongea. Cha ajabu tendo la ndoa la kuridhisha lilikamata nafasi ya 18.
Haya ni mambo 20 yaliyotajwa kwa umuhimu wake katika kuwa na ndoa itakayodumu na yenye furaha:
1. Ongeeni
2. Maridhiano/Kupatana
3. Endeleeni kusonga mbele
4. Ifanyie kazi
5. Usiikatie tamaa ndoa kirahisi
6. Msiende kitandani mkiwa mnabishana
7.Kuwa Mvumilivu
8. Sikiliza
9. Kuwa mkweli/muwazi
10. Kuwa na heshima
11. Kuwa Mvumilivu
12. Kuwa na matarajio yenye uhalisi
13. Usiolewe
14. Fanyeni vitu pamoja
15. Wasilianeni
16. Kuwa mstahimilivu
17. Kuwa mwaminifu
18. Kuwa na maisha yenye tendo la ndoa linaloridhisha
19. Kuweni marafiki
20. Jipeni nafasi
2. Maridhiano/Kupatana
3. Endeleeni kusonga mbele
4. Ifanyie kazi
5. Usiikatie tamaa ndoa kirahisi
6. Msiende kitandani mkiwa mnabishana
7.Kuwa Mvumilivu
8. Sikiliza
9. Kuwa mkweli/muwazi
10. Kuwa na heshima
11. Kuwa Mvumilivu
12. Kuwa na matarajio yenye uhalisi
13. Usiolewe
14. Fanyeni vitu pamoja
15. Wasilianeni
16. Kuwa mstahimilivu
17. Kuwa mwaminifu
18. Kuwa na maisha yenye tendo la ndoa linaloridhisha
19. Kuweni marafiki
20. Jipeni nafasi
Chanzo: Daily Mail
Social Plugin