VURUGU YATOKEA UWANJANI HUKO GEITA,POLISI WAINGILIA KATI
Tuesday, February 10, 2015
Jeshi
la Polisi mkoani Geita limelazimika kuwatawanya washabiki wa Mpira
katika uwanja wa Shule ya Sekondari Nyakumbu Mkoani Geita mara baada
yakutokea vurugu wakati wa Mchezo kati ya Totokutoka Mwanza na Geita hali iliyolazimu
kuvujika kwa mchezo huo.Chanzo cha vurugu hizo inaelezwa kuwa ni mwamuzi
wa kutoa penati kwa timu ya Geita,baada ya mchezaji wa timu ya Toto ya Mwanza Venance Joseph wa Geita kushika mpira baada ya hapo refa akatoa penati kwa timu ya Toto,huyo Venance akagoma,kisha kupewa kadi ya njano baada ya hapo vurugu ikatokea,huku Toto wakitaka penati ipigwe lakini Geita wakiwa wanakataa hali iliyosababisha vurugu na kutaka kumpiga refa wakidai amenunuliwa kwa shilingi milioni 10 -Picha na Valence
Robert-Malunde1 blog Geita
Mashabiki wa mpira wakiwa katika uwanja wa Nyankumbu
wakijadili mara baada ya mchezo kati ya timu ya
Toto ya Mwanza na Geita Gold Sport kuvunjika kwa vurugu.Picha na Valence Robert Malunde1 blog
-Geita
Polisi walipiga mabomu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin