Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAREMBO MAPACHA WAAMUA KUOLEWA NA MWANAMME MMOJA,WANACHANGIA KILA KITU

image52Tumezoea kuona pacha wengi wakishare mambo wanayopenda kwa pamoja, kitu kama aina ya mavazi wanayovaa na vinginevyo, iliwahi kutokea story ya mapacha walioolewa na pacha wenzao Tanga.


Kutoka Afrika Kusini mapacha wawili wanawake, Owami na Olwethu wenye umri wa miaka 26 wameingia kwenye headline kutokana na kukubaliana kuolewa na mwanaume mmoja, Mzukiseni Mzazi ambapo mapacha hao wamesema walikuwa wakishirikiana kwa mambo mengi  tangu wakiwa wadogo huku wakiwa na ndoto ya kuolewa na mwanaume mmoja.
South-African-twin-sisters-who-married-the-same-man1

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com