Tukio hilo la aibu limetokea tar. 12/03/2015 saa 8:15 mchana katika shule ya msingi Maundo ambapo mwalimu mmoja wa kike alimkuta mwalimu mwenzake akila tunda la mwanafunzi wake ofisini.
Mwalimu huyo baada ya kushuhudia tukio hilo alifunga mlango wa
ofisi na kwenda kuwaita watu, mwalimu Abdu alikamatwa na kupelekwa
kituo cha polisi Tandahimba.
Mashuhuda wa tukio hilo walisika wakisema kuwa mwalimu huyo amekuwa na tabia hiyo ya kufanya mapenzi na wanafunzi wake kwa muda mrefu.
Via>>EATV
Social Plugin