Hapa katika blog hii tunakuletea mambo 20 ya kustaajabisha zaidi ambayo yapo duniani katika uhalisia wake.Acha kuwa mtumwa
wa fikra za kuipa kompyuta uwezo ambao mwingine ni wa kawaida kwa kazi
ya mikono ya Mungu, au kutokana na uwezo wa mwanadamu aliojaaliwa na
Mungu.
Kumekuwa na matukio mengi ambayo yanatokea pengine unayaona
katika runinga na mwishowe unadhani ni picha za kutenenezwa katika
kompyuta au picha mbali mbali wengi utawasikia wanasema 'photoshop
imatumika' sasa angalia video hii ushuhudie makubwa ambayo ni halisi na
yapo katika uhalisia wake bado.
Social Plugin