ANGALIA PICHA 20- VITU VYA KUSHANGAZA ZAIDI DUNIANI,VIDEO IKO HAPA

Hapa katika blog hii tunakuletea mambo 20 ya kustaajabisha zaidi ambayo yapo duniani katika uhalisia wake.Acha kuwa mtumwa wa fikra za kuipa kompyuta uwezo ambao mwingine ni wa kawaida kwa kazi ya mikono ya Mungu, au kutokana na uwezo wa mwanadamu aliojaaliwa na Mungu.
 
 Kumekuwa na matukio mengi ambayo yanatokea pengine unayaona katika runinga na mwishowe unadhani ni picha za kutenenezwa katika kompyuta au picha mbali mbali wengi utawasikia wanasema 'photoshop imatumika' sasa angalia video hii ushuhudie makubwa ambayo ni halisi na yapo katika uhalisia wake bado.
 
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم