Ajali
mbaya ambayo imetokea Usiku wa kuamkia leo maeneo ya CBE Dodoma..Basi
la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,Chanzo cha
ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semitrela lilikuwa limekata tela lake
katikati ya bara bara kuu inayoelekea Dodoma Inn, Na basi hilo
inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na
t ela hilo na katika jitahada za kujaribu kulikwepa liliingia kwenye
mtaro na kugonga mti ambao..Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha ila
majeuhi ni wengi na wamekimbizwa katika hospitali
Social Plugin