ANGALIA PICHA- MBOWE AKUSANYA MAELFU YA WAKAZI WA KAHAMA JIONI HII
Monday, March 09, 2015
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wakazi wa Kahama mjini Kahama mkoa wa Shinyanga jioni hii.Kiongozi huyo wa Chadema Taifa ametoa pole kwa wakazi wa Kahama waliopatwa na maafa ya mvua ya ajabu iliyoua watu 46 na kujeruhi zaidi ya 90 hivi karibuni,ambapo chama hicho kimetoa shilingi milioni 10 kuwafariji wahanga wa Mvua wa Mwakata Kahama.Mbowe pia amezungumzia mambo mbali mbali ya kitaifa likiwemo suala la daftari la kudumu la wapiga kura na katiba inayopendekezwa
Social Plugin