Usiku wa Februari 28,2015 ni siku ambayo itakuwa siku ya historia ya
kukumbukwa nchini Tanzania ambapo Bloggers zaidi ya 100 kutoka mikoa mbalimbali
ya Tanzania bara na Visiwani na waratibu wa mitandao mingine ya kijamii kama
vile Forums wamekutana jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Makii uliopo Hotel
ya Serena katika hafla ya Mwaka ya Kuwakutanisha Bloggers Tanzania kupitia
Chama Chao maarufu “Tanzania Bloggers Network_TBN”-Picha zote kwa hisani ya Malunde1 blog
|
Picha za kumbukumbu wakati wa hafla hiyo-
Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari
Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga huku
malengo yake yakiwa ni kuwaunganisha bloggers,washika dau mbalimbali wa
ulimwengu wa habari na mawasiliano(ikiwemo mitandao ya kijamii),kuzitambulisha
na kuhakikisha kuwa blogs zinatambuliwa rasmi kama vyombo vya habari na vyanzo
muhimu vya habari zenye kuelimisha,kufundisha,kuonya na kuburudisha.
|
|
Bloggers katika pozi-
Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari
Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga huku
malengo yake yakiwa ni kuwaunganisha bloggers,washika dau mbalimbali wa
ulimwengu wa habari na mawasiliano(ikiwemo mitandao ya kijamii),kuzitambulisha
na kuhakikisha kuwa blogs zinatambuliwa rasmi kama vyombo vya habari na vyanzo
muhimu vya habari zenye kuelimisha,kufundisha,kuonya na kuburudisha.
|
Lengo jingine la mkutano huo ni kutilia mkazo fursa maalum
iliyopo ya kuona blogs zinaleta mchango mhimu katika maendeleo ya
kijamii,kisiasa na kiuchumi na pia amani na mshikamano nchini Tanzania.
|
Cheers!!
Mkutano huo pia ulikuwa unalenga kuunda mchakato mahsusi wa
ushirikiano kati ya blogs a vyombo vingine vya habari kama vile magazeti,radio
na televisheni pamoja na kukuza na kuendeleza dhana chanya ya uhuru wa
fikra,mawazo na upatikanaji na upashanaji wa habari.
Lengo jingine ni kuhakikisha kwamba bloggers wote nchini
Tanzania wanafuata na kuongozwa na misingi muhimu ya habari na mawasiliano kwa
kupeana maarifa na miongozo mbalimbali kupitia semina,warsha na njia zinginezo
za mafunzo.
|
|
Bloggers wakiendelea kupiga picha za pamoja,Kushoto ni ndugu Kadama Malunde,wa Malunde1 blog kutoka mkoani Shinyanga |
|
Kushoto ni Othman Michuzi ambaye ni blogger maarufu na mkongwe nchini Tanzania |
Wa kwanza kulia ni Mgeni
rasmi ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi
Mukajanga akisalimiana na Bloggers baada ya kuwasili ukumbini
Kushoto ni mkurugenzi wa Malunde1 blog,Kadama Malunde akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi
Mukajanga
|
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi
Mukajanga akiwa na baadhi ya viongozi wa Tanzania Bloggerr Network |
|
Wadhamini wa hafla hiyo walikuwa Vodacom Tanzania,Benki ya NMB,Cocacola,AIM GROUP na kampuni ya huduma za intaneti ya Raha |
Bloggers wakibadilishana mawazo ukumbini-Mbali na mitandao mingine ya kijamii kama vile facebook,Twitter na Instagram,siku hizi Blogs zimekuwa chanzo kikubwa cha habari na mawasiliano na nchini Tanzania blogs zimekuwa mstari wa mbele zaidi katika kuwafikishia wananchi habari kwa haraka zaidi kwa Kiingereza wanasema "Breaking News"
|
Bloggers
waliokutana ni zaidi ya 100,lakini Nchini Tanzania kuna Bloggers zaidi
ya 500 na kinachofanyika sasa ni kukamilisha zoezi la kuwaunganisha
bloggers wote ili kutambuana na kubadilishana maarifa na taarifa nyingi
zaidi na kwa haraka zaidi |
|
Siku hizi taarifa nyingi zimekuwa zikianza kutoka kwenye blogs kisha baadae kusikika kwenye vyombo vingine vya habari na hapo ndipo umuhimu wa blogs unapoonekana kuwa na nguvu kuliko vyombo vingine vya habari ukiamchilia mbali radio
|
Bwana Rocky akiwa na Kadama Malunde ukumbini |
|
Bloggers wanateta neno
|
Mwenyekiti wa TBN Joachim Mushi akizungumza ukumbini ambapo alisema ni vyema sasa Blogs zikatambuliwa rasmi na mamlaka husika pamoja na taasisi zinazohusika na usimamizi wa tasnia ya habari likiwemo Baraza la Habari Tanzania(MCT),Idara ya Habari(Maelezo),MISA-Tan na hata mfuko wa ruzuku kwa vyombo vya habari nchini Tanzania(TMF) |
Bloggers hao pia walilia kupewa Semina za MCT,kupewa vitambulisho(Press Card),kushiriki katika mafunzo na hata mashindano ya kila mwaka ya wanahabari yanayoandaliwa na MCT
Kushoto ni Father Kidevu akionesha vituko vyake ukumbini
|
Msanii Jikoman akitoa burudani ukumbini |
|
Risala ya TBN inasomwa kwa mgeni rasmi |
|
Pozi ukumbini,kushoto ni mwenyekiti wa kamati ya mapokezi katika hafla hiyo bwana Mkala Fundikira |
Bloggers wakiwa na mgeni rasmi ukumbini
|
Mgeni rasmi Kajubi Mukajanga alisema Baraza la Habari
Tanzania linatambua na kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Bloggers wa
Tanzania na kuahidi kuanzia mwaka huu kuwashirikisha katika fursa mbalimbali
ikiwemo mafunzo,tuzo kwa Bloggers na fursa zingine mbalimbali huku wakipanga
mikakati ya kuwa na muongozo wa maadili kwa Bloggers wa Tanzania ili
kuhakikisha kuwa habari wanazotoa zinakuwa na usawa,uhakika,ukweli n.k
|
Mgeni
rasmi,Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi
Mukajanga akikata ndafu
|
Ndafu ukumbini |
|
Mgeni
rasmi ,Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi
Mukajanga akifungua burudani ya muziki |
|
Ebwana eeee full burudani |
|
Picha za kumbukumbu,kulia ni Rozy Ndauka ambaye ni msanii wa filamu nchini akiwa na Kadama Malunde wa Malunde1 blog |
|
picha za kumbukumbu |
|
Bloggerr katika pozi,kushoto ni Frdy wa Blogs za Mikoa |
|
Bloggers katika pozi |
|
Picha ya pamoja Bloggers |
|
picha ya pamoja |
|
picha ya kumbukumbu |
|
Bloggers na mgeni rasmi |
picha ya pamoja Bloggers na mgeni rasmi
|
Bloggers katika Wassira Style |
|
picha ya kumbukumbu |
|
Masama Blog akiwa na Malunde1 blog |
pozi tu
|
picha ya kumbukumbu,kushoto ni bwana Zainul Mzige |
|
picha ya kumbukumbu |
|
picha ya kumbukumbu |
|
pozi flani hivi |
|
picha ya kumbukumbu |
|
picha ya kumbukumbu |
|
Rose Ndauka,Mkala Fundikira na Joachim Mushi |
Picha zote kwa hisani ya Malunde1 blog
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin