Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BAADA YA VENGU KUZUSHIWA KIFO,ORIJINO KOMEDI WAMEKUJA NA MAAMUZI HAYA



Baada ya uvumi kusambaa kuwa mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi  Vengu amefariki na baadae kaka yake alikanusha uvumi huo, kiongozi wa kundi hilo  

Sekioni David amesema wamepata usumbufu mkubwa juu ya uvumi huo na wao kama kundi wameamua kuchukua hatua zaidi  ili kukomesha tabia hiyo kwa kuwa sio mara ya kwanza, wamepata ushauri kutoka TCRA ambao wamewashauri kuchukua hatua ili kuweza kujua chanzo cha uvumi huo na kuchukua hatua zaidi kwa wahusika  na muda sio mrefu mhusika atajulikana

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com