Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na
mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia
ghafla usiku huu akiwa nyumbani kwake.
Akizungumza na EATV, mmoja
wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connection Madee, amesema kuwa bado
hajafahamu chanzo cha kifo ila amefariki ghafla usiku huu akiwa nyumbani
na msiba upo Manzese Tip Top.
Pia kuna taarifa kuwa MUIGIZAJI NA COMEDIAN DEFENDA amefariki dunia usiku huu,tutawaletea taarifa kamili hivi punde.....
Pia kuna taarifa kuwa MUIGIZAJI NA COMEDIAN DEFENDA amefariki dunia usiku huu,tutawaletea taarifa kamili hivi punde.....
Social Plugin