BASI LAUA ZAIDI YA ABIRIA 40 BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA HUKO IRINGA
Wednesday, March 11, 2015
Abiria
zaidi ya 40 wamefariki dunia baada ya basi la Majinja Express
ambalo lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kufunikwa na
kontena maeneo ya Changalawe, Mafinga mkoani Iringa majira ya saa tatu asubuhi.
Kwa
mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ni kwamba dereva wa basi alikuwa
akijaribu kulipita lori ndipo walipodondokewa na kontena hilo.
Social Plugin