Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Bad News!! MVUA KUBWA YA MAWE NA UPEPO YAUA WATU ZAIDI YA 30 SHINYANGA

 Miili ya watu 7 wa familia moja waliokufa katika tukio hilo.
Habari za kusikitisha kutoka kijiji na kata ya Mwakata wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni kwamba watu zaidi ya 40 wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa nyumba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinasema kuwa mvua kubwa iliyoambatana na upepo,mawe imenyesha usiku wa kuamkia leo na kuangusha nyumba na miti katika eneo hilo.

Hali hiyo inadaiwa kuleta majanga zaidi kutoka na nyumba zilizojengwa kwa udongo kuharibiwa vibaya na mvua hiyo kubwa.

BOFYA MANENO HAYA KUANGALIA PICHA ZOTE

 AU
BONYEZA MANENO HAYA KUSOMA HABARI KAMILI

AU 
BOFYA HAPA KUJUA ALICHOKISEMA RAIS KIKWETE BAADA YA KUTOKEA TUKIO HILO LA KUHUZUNISHA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com