Habari kutoka Iringa zinasema kuwa idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya basi la Majinja Express
ambalo lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kufunikwa na
kontena maeneo ya Changalawe, Mafinga mkoani Iringa,hadi saa 10 jioni ni watu 42 wamefariki dunia.
Chanzo cha habari cha Malunde1 blog kinasema kuwa hadi muda huo majeruhi walikuwa 22 na mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 4 kati ya abiria waliokuwa katika basi hilo hajaumia hata kidogo.
Habari kutoka katika hospitali ya Mafinga ni kwamba majeruhi 9 hali zao ni mbaya.

Kwa
mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ni kwamba dereva wa basi alikuwa
akijaribu kulipita lori ndipo walipodondokewa na kontena hilo.
BONYEZA MANENO HAYA KUSOMA HABARI KAMILI,KUJUA MAJINA YA ABIRIA WALIOKUWA KATIKA BASI HILO NA KUONA PICHA ZAIDI YA 20 ZA TUKIO HILO LA KUSIKITISHA

Social Plugin