Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HAPPY BIRTHDAY ANDREW MSAFIRI!!


Malunde1 blog inamtakia siku njema ya kuzaliwa ndugu Andrew Msafiri(Babu),ambaye sasa anafanya kazi katika kituo cha Matangazo cha Radio Rasi fm 103.7Mhz Dodoma.
Andrew Msafiri ni meneja wa Radio Rasi fm. 

Malunde1 blog inamtakia siku njema ya kuzaliwa ndugu Andrew Msafiri,ambaye sasa anafanya kazi katika kituo cha Matangazo cha Radio Rasi fm 103.7Mhz Dodoma.Andrew Msafiri ni meneja wa Radio Rasi fm.Mtandao huu unamtakia kila la kheri katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo Machi,25,2015.Mtandao huu unamtakia kila la kheri katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com