Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HII HAPA ORODHA YA VIWANJA 10 VINAVYOONGOZA KWA KUCHUKUA MASHABIKI WENGI WA SOKA DUNIANI

mojMchezo wa soka umeendelea kuwa mchezo unaoongoza kwa kupendwa na watu wengi zaidi duniani na kuwa na idadi kubwa ya mashabiki pengine kuliko mchezo mwingine wowote.
Tumeshuhudia kwa timu zilizoendelea wanaweka nguvu kubwa kuwekeza sio kwenye wachezaji wakali uwanjani bali hata kuwa na viwanja vizuri.
Leo nakuwekea hii ya list ambayo ina pichaz za hivi viwanja 10 vya mpira wa miguu ambavyo vinaongoza kwa kuchukua idadi kubwa ya mashabiki duniani:-
stadium 1
Upo Korea Kaskazini: Una uwezo wa kuchukua mashabiki 150,000
stadium 2
Upo India: una uwezo wa kuchukua mashabiki 131,000
stadium3
Upo Kuala Lumpur Malaysia, una uwezo wa kuchukua jumla ya mashabiki100,411
camp
Upo Hispania, una uwezo wa kuchukua mashabiki 99,786. Huu ni Uwanja wa nyumbani wa Klabu ya Barcelona.
fnb
Upo Johannesburg Afrika Kusini, una uwezo wa kuchukua mashabiki94,736. Jina maarufu ambalo Uwanja huu unaitwa ni Soccer City.
wis
Upo USA, una uwezo wa kuchukua mashabiki 92,542 kwa wakati mmoja.
cotton
Upo Dallas, Texas Marekani.  una uwezo wa kuchukua mashabiki 92,100.
memo
Upo USA. Una uwezo wa kuchukua mashabiki 91,471
moj
Upo London, Uingereza: una uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000
eden
Upo Kolkata India: una uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com