Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HII HAPA ORODHA YA WANAWAKE 15 WAREMBO ZAIDI DUNIANI,PICHA ZIKO HAPA WAANGALIE MWENYEWE

ww 
Kwenye kila idara siku hizi kuna habari zake nyingi tu, utaambiwa Wanamichezo 10 matajiri duniani, 10 wanaouza zaidi kibiashara, Magari 10 ya bei ghali zaidi duniani…. hizo ni baadhi tu ya countdown ambazo tunazo kwenye haya maisha ya kila siku.


Countdown ya hawa warembo ilitoka zaidi ya miezi miwili iliyopita so kama ilikupita fanya hesabu pamoja na mimi kwenye hii post, wanasema sio Warembo wa Ulaya bali hii ni list ya dunia.
a1 
#1 Nina Dobrev - mrembo huyu aliyetajwa kushika namba moja ni mwigizaji na Model mzaliwa wa Bulgaria aliyekulia Canada.
a2 
#2 Emmanuelle Chriqui – Ni mwigizaji raia wa Canada ambaye alianza uigizaji akiwa na miaka 10 ambapo jina lake linahusika pia kwenye movie ya mwaka 2008 ‘You Don’t Mess with the Zohan’
a3 
#3 Jessica Alba – Ni mwigizaji kutoka Marekani ambae ni mfanyabiashara na model pia ambapo alianza uigizaji akiwa na umri wa miaka 13 tu.
a4 
#4 Dianna Agron – ni mwigizaji kutoka Marekani ambae ana vipaji vya kuimba pamoja na kucheza pia.
a5 
#5 Monica Bellucci – Mrembo huyu wa Italy ndio kashika namba 5, akiwa ni mwigizaji pamoja na fashion Model.
a6 
#6 Olivia Wilde – Olivia ni mwigizaji wa Marekani, screenwriter na producer vilevile na pia amewahi kuonekana kwenye movie ya ‘The Girl Next Door
a7 
#7 Scarlett Johansson – ni Mmarekani ambae ni model, mwigizaji na mwimbaji pia aliyezaliwa kwenye jiji la New York.
a8 
#8 Penelope Cruz – ni mtoto wa Hispania, ni mwigizaji na Model Spain.
a9 
#9 Hayden Panettiere – Mmarekani ambae ni mwigizaji, mwimbaji na mwanaharakati.
a10 
#10 Angelina Jolie – Namba kumi ndio hii imechukuliwa na Angelina ambae ni mwigizaji na mwogozaji wa Filamu.
a11 
#11 Charlize Theron ndio jina la huyu mrembo hapa juu kwenye picha, ni mtoto kutoka South Africa na kazi yake kubwa mwigizaji na sasa ni mtayarishaji wa vipindi vya TV na filamu vilevile.
a12 
#12 Meryem Uzerli mtoto mwenye damu ya Kituruki na Kijerumani, ni mwigizaji na model pia.
a13 
#13 Keira Knightley ni wa London Uingereza, mwigizaji pamoja na mwimbaji.
a14 
#14 Olga Kurylenko kaiwakilisha Ufaransa kwenye hii list, ni mwigizaji na model pia.
a15 
#15 Mwigizaji Mmarekani Anne Hathaway ndio wa mwisho kwenye hii list.. una comment yoyote kwenye hii list? usisite kuiandika hapa chini mtu wangu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com