Inaelezwa kuwa baada ya kuacha njia likiwa katika mwendo kasi lilikutana na mkokota toroli la ngo'mbe akiwa katikati ya barabra maeneo ya Salunda kata ya Bariadi Mjini .
Kufuatia hali hiyo basi hilo lilimgonga mkokota toroli aitwaye Bahati Suti (25) Mkazi wa Musoma wilayani Itilima Mkoani Simiyu ambaye alifariki dunia papo hapo , huku ngo'mbe 2 na wakipoteza uhai papo hapo.
Kamanda wa polisi Mkoani Simiyu Charles Mkumbo amesema basi hilo lilikuwa likiendeshwa na Ramadhan Hassan (30)
mkazi wa Magomeni Kagera Jijini Dar es salaam, na kwamba kufuatia ajali hiyo gari
hilo liliharibika kioo cha mbele pamoja na bampa na dereva wa basi anashikiliwa na jeshi la polisi.
Abiria wote 34 katika basi hilo ni wazima.
Abiria wote 34 katika basi hilo ni wazima.
Baadhi ya wasamaria wema wakikokota mkokoteni uliosababisha ajali hiyo na kupoteza uhai wa dereva wake pamoja na Ngo'mbe 2. |
Baadhi ya mashuhuda wakiangalia basi hilo |
Mashuhuda. |
Ngo'mbe akiwa amekufa |
Baada ya basi kutolewa kichakani, muonekano wake lilivyopata ajali |
SOMA HABARI ZAIDI HAPA
Social Plugin