MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' naye amejiunga rasmi na chama cha ACT-Tanzania.
Afande Sele akiongea na wanahabari (hawapo pichani) katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar.
Afande Sele ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) amejiunga na ACT-Tanzania leo wakati wa mkutano na
wanahabari uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Zitto akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar.
Social Plugin