HUYU NDIYO 'BODIGADI' MPYA WA DR SLAA, MUANGALIE HAPA KWENYE PICHA
Thursday, March 12, 2015
Mlinzi mpya wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Dk. Willibrod Slaa akimfungulia mlango leo baada ya kuhojiwa kwa saa 6 na polisi kuhusu suala la kutaka kuwekewa sumu na mlinzi wake wa mwanzo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin