Huyu mtoto ana miaka 3 anaitwa Nice, kwao ni Kiteto kijijini huko
Manyara. Lakini cha ajabu ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na
nyingine ngumu kwa uwezo wa kutisha na
kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi. Ukimuongelesha kiswahi
li anakwambia 'Please speak english'. Cha kushangaza zaidi ni kwamba
tangu azaliwe hajawahi kwenda shule au kuhudhuria darasa la aina yoyote.
Na kama ujuavyo mazingira ya kijiji watu huzungumza lugha ya eneo
husika lakini yeye ameweza kuongea kingereza bila kujua wapi amejifunza.
na unaambiwa wakati mwingine huwafundisha wanafunzi wa form 1.
Picha na EATV
Social Plugin