Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JINSI SIMBA SC WALIVYOIGONGA YANGA 1- 0, PICHA ZA UTANI ZATAWALA MTANDAONI

Kunako dakika ya 9 kipindi cha pili ama waweza sema dakika ya 56 ya mtanange wa Simba na Yanga, mganda anaecheza soka la kulipwa nchini Tanzania na klabu ya Simba yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi katika viunga vya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Emmanuel Okwi ameiandikia Simba bao la kwanza baada ya kumalizia kazi nzuri ya Ibrahim Hajibu. Mpira umemalizika na Simba 1 Yanga 0. 

Mchezaji wa Yanga Harun Niyozima anapigwa kadi nyekundu. 
Wakati huo huo Yanga inampeleka Benchi, Mrisho Ngasa na Simba Ibrahim Hajibu nae akaenda benchi.

BAADA YA MCHEZO,VITUKO MTANDAONI





 
 










Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com