Ajali hii imetokea leo asubuhi eneo LA airport Arusha ambapo basi la Arusha express likielekea MBEYA kugongana na Lori lkn hakuna aliyepoteza Maisha Ingawa watu Wamejeruhiwa na Kupelekwa hospitali ya Mkoa Mt Meru....
Ajali hii imetokea baada ya
dereva wa basi kujaribu ku-overtake na kukutana na lori mbele yake.
Habari zinasema kuwa abiria wa Lori ndiyo wameumia na kukimbizwa
Hospitali
Social Plugin