Manchester
United jioni ya leo wameitandika liverpool kwa mabao mawili kwa moja
ilikuwa ni katika dakika ya 14 kiungo mshambuliaji Juan Mata aliifungia
timu yake goli mpaka timu hizo zinakwenda mapumziko Mashetani wekundu
walikuwa wanaongoza kwa goli moja.
Kipindi
cha pili katika dakika ya 59 yule yule Juan Mata alitupia goli la pili
kwa tiktaka mulua na kuandikia timu yake goli la pili, liverpool
ilijipatia goli la kufuti machozi katika dakika ya 69 likifungwa na
Sturridge.
Kiungo
wa Liverpool Gerarrd ameweka rekodi baada ya kucheza sekunde 38 na
kuonyeshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa Man
Hererra katika dakika ya 45 kipindi cha pili sekunde 39 baada ya
kuingia akitokea benchi.
Fulltime Liverpool 1 vs 2 Man United
Tazama hapa chini picha zaidi za mchezo huo
Goli la kwanza
Goli la pili
Social Plugin