Chuo cha CBE usiku wa Feb 28, 2015
walikua wakimtafuta Miss CBE ambaye kwao ni kama kumtafuta mwakilishi
atakwenda kuwawakilisha kwenye ngazi zinazofuata za mashindano hayo ya
urembo ambapo Neema Sissamo alitajwa kama mshindi wa Miss CBE 2015.
Nafasi ya pili ikachukuliwa na Namie Haule nafasi ya tatu ikachukuliwa na Mariam
Omary ambapo ukitazama hapa chini ndio nimekuwekea pichaz mbalimbali
kutoka kwenye tukio hili ambalo Young D na Jux walikua mabalozi wa
bongofleva.
Social Plugin