Mpya!! ASKOFU GWAJIMA AONDOLEWA KWENYE CHUMBA CHA UANGALIZI MAALUM(1CU)
Monday, March 30, 2015
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima aondolewa katika
chumba cha uangalizi Maalum (ICU) TMJ baada ya kupata nafuu na hali yake
kuendelea vizuri.
Via>>EATV
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin