J.I ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania
ambao wana historia kubwa na muziki wa Bongo Fleva,hii ni kutokana na
hit moja ya kidato kimoja ambayo ilimpa mashabiki wengi wa ndani na nje
ya nchi.
Single
ya Kidato Kimoja peke yake kwa mujibu wa J.I mwenyewe amesema ilimpa
pesa nyingi kiasi cha kumfanya afungue biashara zake binafsi mbalimbali
ikiwemo maduka ya nguo kwenye nchiniKenya,kwa sasa karudi na single mpya
inaitwa Msifie wife imefanywa na Sheddy Clever.
Bonyeza play kuusikiliza.
Social Plugin