Hali ni tete katika jiji la Dar es Salaam, kutokana na mvua ya masika iliyonyeshwa kwa siku tatu na kusababisha vifo vya watu watano, huku nyumba nyingi zikiwa zimezingirwa na maji.
Maeneo
yaliyoathirika zaidi ni Buguruni kwa Mnyamani na eneo la Jangwani
katika Manispaa ya Ilala, ambako nyumba nyingi na barabara zimeathirika.
Sehemu
nyingine za jiji zimezingirwa na maji kutokana na kuziba kwa mitaro na
mifereji, ikiwa ni athari ya utupaji taka ovyo na pia miundombinu duni.
Social Plugin