Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MZEE WA UPAKO ACHAFUA HALI YA HEWA " WASIOENDA KANISANI NI MAFALA NA MABWEGE"

Nikauli aliyoitoa jana Ijumapili Machi 08,2015 kupitia kituo cha Televisheni cha Channel Ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia ya waumini wake.. Kati ya mambo yaliyostaajabisha wadau wengi ni lugha ya matusi iliyotolewa na kiongozi huyo mkubwa wa dini ya kikristo.

Anasema:- habari ya mjini kwa sasa ni kusali na wanaosema ibadani hakuna jipya waache ''ufala''

Fuatilia mjadala huu kwa kuingia===>hapa


Chanzo JamiiForums

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com