NHIF YAWATAKA WAJASIRIAMALI KUJIUNGA NA MPANGO WA KUPATA HUDUMA ZA MATIBABU KWA KADI

Kaimu meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam akizungumza na Viongozi wa vyama mbalimbali vya Wajasiliamali manispaa ya Singida kuhusu kujiunga na mpango wa utaratibu wa kupata huduma za matibabu kwa Kadi kupitia vikundi vyao katika sekta isiyo rasmi kama AMCOS,SACCOS,VICOBA na Umoja wa Waendesha Bodaboda na Mama Lishe.
Baadhi ya Wajasiliamali wakiwasikiliza Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika mkutano huo wa Uhamasishaji kujiunga na Mpango wa Kikoa
Afisa kutoka Bima ya Afya makao makuu Dar-es-Salaam Bw.Salvatory Okumu akitoa Mada ya umuhimu wa kujiunga na mpango wa matibabu kwa kadi kwa sekta zisizo rasmi Kikoa.


Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam-Picha na KAPIPIJhabari.COM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post