Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tazama!! NIMEKUWEKEA PICHA NYINGI SANA KUTOKA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE,MA- SUPERSTARS WAFURIKA!!

 Msanii wa Bongo Movie NIVA
akiwa na Meneja Masoko AccessBank Mr Muganyizi katika msiba wa Abdu Bonge aliyefariki dunia juzi jijini Dar es salaam
 Msanii wa hip hop kutoka tamaduni muziki Sterio akiwa na Jabir mtangazaji wa TimesFm




 Koba mwanamuziki kutoka morogoro akiwa msibani


 Mirrow kutoka EndlessFame akiwa na Petman Wakuache 
 Jordan na Ali Runa 


 Master J pamoja na Diamond Platnumz
 Pnc akiwa na Best naso 
 Mr Muganyizi pamoja na wasanii Koba ,Jabir wa Times FM
 Shetta ,Diamond, na Hakim 5


 Diamond Platnumz akiwasili katika msiba Tip Top Manzese
 Shetta akiingia msibani pamoja na Mwarabu,Team WCB
 Mkubwa Fella akijadili jambo
 Djku akiwa anazungumza machache juu ya kifo cha Abdu bonge na Sterio,Mr Muganyizi Afisa Masoko AccessBank.
 Kasimu Mganga moja ya wasanii  wa kundi la Tip Top conection





 Sterio akikabidhiwa daftari la rambirambi na Mkubwa Fella




 Master J Mkurugenzi wa MJ REC
 Babu Tale mdogo wa marehemu


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com