Cristiano Ronaldo
ameendelea kuudhihirishia ulimwengu kwamba mbali ya kuwa bora kwenye
soka, bado ana rekodi nyingine kubwa ambazo zinafanya jina lake kuwa
kwenye rekodi mbalimbali ambazo zitadumu milele duniani.
Takwimu za mtandao wa goal.com.
zinaonyesha
staa huyo kuwa NUMBER 1 kwenye orodha ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa
kuingiza pesa nyingi zaidi duniani na kuwa na utajiri mkubwa.
Takwimu za mtandao huo zinaonyesha Ronaldo ana utajiri wa paundi milioni 210 akimuacha nyuma mpinzani wake anayeshikilia nafasi ya pili Lionel Messi mwenye utajiri wa paundi 200.
Utajiri wa Ronaldo haupatikani kwa soka lake uwanjani pekeyake, ana madili mengine mengi ikiwemo kuwa balozi wa kampuni mbalimbali kama Toyota, Nike na Herbalife ambazo zimeweka pesa kwa staa huyu ili awe Balozi wao rasmi kutangaza bidhaa zao.
Hii ndio list yote.
1. Cristiano Ronaldo
2. Lionel Messi
3. Neymar Da Silva Santos Jr
4. Zlatan Ibrahimovic
5. Wayne Rooney
6. Ricardo Kaka
7. Samuel Eto’o
8. Raul Gonzalez
9. Ronaldinho (Gaucho)
10. Frank Lampard
Ni kiungo wa Manchester City: Ana utajiri wa Euro milioni 80
Social Plugin