February 02 2015 katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam ilikuwa ni shughuli za kuuaga mwili wa Marehemu Kapteni John Komba na baadaye ukasafirishwa kwenda Ruvuma ambako yatafanyika mazishi-Picha zote kwa hisani ya Michuzi blog
Watu mbalimbali wameshiriki katika tulio hilo, hapa kuna picha kutoka Karimjee,angalia hapa chini
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akitoa heshima za mwisho
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na Mkewe Anna Mkapa wakitoa heshima za mwisho
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Kanali Samuel Ndomba.
Mbunge Jenista Mhagama.
Kingunge Ngombale–Mwiru.
Kamanda Kova.
Wabunge wakiifariji familia ya Marehemu.
Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake, Asha na Zakhia.
Mhe. Ole Sendeka.
Khadija Kopa.
Mama Regina na Mama Sophia Kawawa.
Rais mstaafu Benjamin Mkapa na Spika wa Bunge Anne Makinda.
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akiifariji familia ya marehemu.
Mjane wa Marehemu, Salome Komba.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na Mh. Joshua Nassari.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,Mh. Saidi Mtanda akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Kamati yake.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akitoa salamu za Chama.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista
Mhagama akitoa salamu za Serikali katika viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam leo.
Social Plugin