Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TGNP MTANDAO YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI SHINYANGA

TGNP Mtandao leo imekutana na waandishi wa habari kutoka mkoa wa Shinyanga,Simiyu na Mwanza kujadili masuala mbalimbali kuhusu jinsia.Mkutano huo utadumu kwa muda wa siku mbili na unafanyika katika ukumbi wa Diamond Field Hotel mjini Shinyanga
Bi Esther William,ambaye ni mtafiti kutoka TGNP Mtandao akizungumzia kuhusu utafiti walioufanya katika kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga


Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini leo


Wananchi kutoka wilayani Kishapu wakiwa na waandishi wa habari ukumbini


Waandishi wa habari kutoka Radio Faraja Shinyanga


Mkutano unaendelea


Mwandishi wa habari Star TV,ndugu Shaaban Alley akichangia mada


Wananchi wa Kishapu wakiwasilisha tamko lao kuhusu mambo ya Jinsia
Bi Esther William,ambaye ni mtafiti kutoka TGNP Mtandao akiwa ukumbini
Mkutano unaendelea


Afisa program,utafiti na uchambuzi kutoka TGNP Mtandao Deogratius Temba akizungumza katika mkutano huo


Afisa program,utafiti na uchambuzi kutoka TGNP Mtandao Deogratius Temba akizungumza katika mkutano huo


Mkutano unaendelea


Mkutano unaendelea


Mkutano unaendelea

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com