UBISHI WA NANI MKALI KATI YA ALIKIBA NA DIAMOND: HEBU TAZAMA MADADA WA TEAM KIBA VS TEAM DIAMOND WAKISHINDANA KUNENGUA VIUNO HATARI!!
Sunday, March 29, 2015
Baada ya kuwa na sakata la muda sasa la mkali nani kati diamond na Ali kiba team hizi zimefikia hadi kwa kina dada sasa mara baada ya Ali kiba kutoa wimbo wa Chekecha na vimwana kuji cheketua kupitia video Team Tiamond wakaona isiwe kesi na wao wakaporomosha mzigo wa nasema naye toka kwa Diamond akiwa na Mwana mama Khadija Kopa hapa napo kina dada wameanza kuwakilisha wimbo kwa kujirekodi wakimwaga mauno ya hatari tupu.
Hii haikutosha Mtu mzima Diamond akakazia zaidi kwa kuonyesha kapania kweli kweli hilo shindano kwa kuandika kitu hiki kwenye kurasa yake ya Instagram
kudhihirisha yupo serious kweli kweli na viuno vya kina dada watao
jirekodi video kucheza wimbo wake huu mpya wenye mahadhi ya pwani!!
Ndipo
bila hiyana Tumeona heri tukuletee ushuhudie mwenyewe kati
ya hawa kina dada wa timu hizi mbili walio jirekodi video nani mkaliii TEAM KIBA VS TEAM DIAMOND!!!
JIONEE MWENYEWE HAPA
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin