Vurugu
,matusi na lugha za kejeli ni miongoni kati ya mambo yaliyotawala
semina ya wabunge kuhusiana muswada wa sheria ya kutambulika hukumu
zitakazokuwa zikitolewa na mahakama za kadhi hapa nchini wa mwaka
2014/2015.
Ni sehemu ya hali ilivyokuwa wakati wabunge waliposhindwa
kuvumuliana na kuheshimiana walipokuwa wakichangia mara baada ya Jaji
Robert Makaramba alipowasilisha mada kuhusiana na muswada huo hali
iliyolazimu ulinzi kuimarishwa ndani ya ukumbi huo kwa hofu kwamba
huenda waheshimiwa wabunge hao wakatwangana makonde na ndipo semina
ilipoendelea.
Mbunge wa kuteuliwa, Kassim Issa mbunge baraza la wawakilishi,
Dakika chache baadaye ikafika kipindi cha kila mtu kumtafuta mbaya
wake ama suluhu ya anachokiamini huku lugha za kutishana zikitawala.
Wakihitimisha semina hiyo muwasilisha mada Jaji Robert Makaramba
pamoja na Waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda wamesema ujumbe umefika na
mapungufu yaliyoonekana yatafanyiwa kazi.
Via>>ITV
Via>>ITV
Social Plugin