Watu watatu wakiwemo wanawake wawili na mwanaume mmoja wamenusurika
kifo baada ya gari yao yenye namba ya usajili STK 7472 Kupinduka eneo la
Tutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe-Songea wakielekea
kumzika Kapteni John Komba.
Kwa mujibu wa mashuhuda wamesema kuwa tukio hilo
limetokea majira ya saa saba usiku na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote
aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
Huu ndiyo mwonekano wa gari hilo bada ya kupata ajali.
chanzo-Kijukuu cha Bibi blog
Social Plugin