TAZAMA PICHA-WANUSURIKA KUFA WAKIENDA KUMZIKA KAPTENI JOHN KOMBA



 Watu watatu wakiwemo wanawake wawili na mwanaume mmoja wamenusurika kifo baada ya gari yao yenye namba ya usajili STK 7472 Kupinduka eneo la Tutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe-Songea wakielekea kumzika Kapteni John Komba.

Kwa mujibu wa mashuhuda wamesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa saba usiku na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.


Huu ndiyo mwonekano wa gari hilo bada ya kupata ajali.
chanzo-Kijukuu cha Bibi blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم