Mwanamme mmoja ambaye hajafahamika jina lake mara moja
amenusurika kufa baada ya kupigwa na wananchi wakati akifanya jaribio la kuiba
baiskeli ya mwendesha baiskeli maarufu
Daladala mjini Shinyanga.
Tukio hilo limetokea asubuhi hii karibu na uwanja wa Shycom
mjini Shinyanga.
Mbali na kupokea kichapo hicho cha maana mwanamme huyo
alitumbukizwa kwenye mtaro wa maji machafu-Picha na Kadama Malunde
Jamaa akisikilizia mauamivu baada ya kupokea kichapo
Baiskeli aliyokuwa anataka kuiba ikitolewa mtaroni
Baada ya kichapo jamaa aliachiwa
Social Plugin