Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA 15-KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA WA SHINYANGA

Hapa ni katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambako leo kumefanyika kikao cha kamati ya Ushauri ya Mkoa(RCC) ambapo mwenyekiti wake ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga.Mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya mkoa wa Shinyanga yamejadiliwa-picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga akifungua kikao hicho ambapo pamoja na mambo mengine amezungumzia hatua zinazoendelea kufanywa na serikali kuwasaidia wahanga wa mvua ya Mwakata Kahama,kahamasishwa viongozi wa dini kuelimisha wananchi kuachana na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na vikongwe lakini pia kasisitiza umuhimu wa wananchi kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya VVU kwa viwango vya maambukizi bado viko juu na hakuna tiba ya ugonjwa huo

Mkuu wa mkoa akizungumza

Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akichukua dondoo muhimu

Wa kwanza kulia ni naibu meya wa manispaa ya Shinyanga David Nkulila,akifuatiwa na katibu wa CCM mkoa wa Shinyanga Charles Sangula,wa tatu ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja

Wajumbe wa kikao wakifuatilia kinachoendelea

Kikao kinaendelea


Mkuu wa wilaya ya Kishapu Wilson Nkhambaku akifuatilia kinachoendelea


Kikao kinaendelea

Kikao kinaendelea

Kikao kinaendelea

Kikao kinaendelea

Mwandishi wa habari Kadama Malunde akifuatilia kinachoendelea

Waandishi wa habari,Suleiman Abeid na Mohab Dominic wakifanya yao

Mwandishi wa habari John Mponeja akifuatilia kinachojiri ukumbini-picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com