Mashabiki wa Simba Ukawa wamefariki dunia katika ajali mbaya ya gari
iliyotokea leo jioni nje kidogo ya mji wa Morogoro.
Taarifa kutoka katika eneo la ajali zimeeleza mashabiki hao walikuwa
njiani kwenda mjini Shinyanga kuishangilia Simba inayopambana na Kagera Sugar
kwenye Uwanja wa Kambarage kesho.
Imeelezwa gari hilo aina ya Toyota Coaster limeacha njia ghafla na
kuingia porini kabla ya kuanguka.
Baadhi ya majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro
Social Plugin