BASI LA PRINCES MUNAA LAPATA AJALI MKOANI DODOMA, ANGALIA PICHA
Monday, April 13, 2015
kumetokea
ajali ya Basi la Princes munaa lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda
Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa
Dodoma.
Halijaua lakini kuna Majeruhi.
picha kwa mujibu wa jamii forums
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin