CHADEMA NOMAAA!! HEBU ANGALIA JINSI WALIVYOFUNIKA LEO HUKO ITILIMA MKOANI SIMIYU
Thursday, April 23, 2015
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kijijini Lagangabili jimbo la Itilima mkoani Simiyu leo jioni wakati wa uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura-Picha zote na mpiga maalumu wa Malunde1 blog
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe
akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Itilima katika Mkutano wa
hadhara ulifanyika katika viwanja vya Lagangabili makao makuu ya ya
wilaya
Mkutano unaendelea
Mkutano unaendelea
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin